Yacouba aitwa timu ya Taifa Burkina Faso

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2021
Yacouba aitwa timu ya Taifa Burkina Faso

Mshambuliaji kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga, Yacouba Songne, ameitwa timu ya Taifa ya Burkina Faso kwa ajili ya mechi za kirafiki zitakazochezwa mwanzoni mwa mwezi Juni 2021

Michezo hiyo ipo ndani ya kalenda ya FIFA

Yacouba amefunga mabao saba na kutoa pasi nne za mabao kwenye ligi msimu huu

Kwa sasa ni yuko katika kiwango bora sana cha kuzifumania nyavu ambapo jana aliiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania yeye akiwa mfungaji wa moja ya mabao hayo

Kujumuishwa kwake timu ya Taifa ni heshima kwake na klabu ya Yanga pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’