Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde, Mwanachama wa klabu ya Yanga leo aliwaongoza benchi la ufundi, wachezaji, viongozi wa Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said kutembelea kituo cha watoto yatima Kijiji cha Matumaini mkoani Dodoma
Lilikuwa tukio la kupeleka faraja na matumaini kwa watoto hao wa taifa ya kesho







ADVERTISE HERE