Mkurugenzi wa uwekezaji GSM juzi alivaa jezi ya Kaizer Chiefs wakati Yanga ikiumana na JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Msemaji wa Simba Haji Manara ameibuka akimkosoa Injinia kuwa hakupaswa kuvaa jezi hiyo kwani haitoi taswira nzuri
Nadhani suala la mavazi libaki kwa mtu binafsi
ADVERTISE HERE