Kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuelekea mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa Jumanne, May 25 uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga
Yanga imeweka kambi mkoani Singida kujiandaa na mchezo huo






ADVERTISE HERE