Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, amewaalika viongozi wa Matawi nchi nzima katika Mkutano wa Semina maalum juu ya mchakato wa Mabadiliko ya Muundo na Katiba ya klabu ya Yanga
Mkutano huo utafanyika May 29 Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani, kuanzia saa nne asubuhi

ADVERTISE HERE