Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam Media Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6
ADVERTISE HERE