Viongozi wa Matawi washiriki Semina ya Mabadiliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2021
Viongozi wa Matawi washiriki Semina ya Mabadiliko

Jana uongozi wa klabu ya Yanga ulikutana na viongozi wa Matawi katika Semina ya Mabadiliko iliyofanyika Makao Makuu ya Yanga, jijini Dar es salaam

Semina hiyo maalum ni kwa ajili ya kuwapa Elimu viongozi hao juu ya muundo mpya ambao Yanga imekusudia kuufuata baada ya kukamilisha mchakato wa Mabadiliko

Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa amesema wataendelea kuwashirikisha wadau wengine ili kuhakikisha wanapata elimu sahihi ya Mabadiliko wanayokusudia kuyafanya Juni 27

Naye Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema mchakato huo ukikamilika ni hatua muhimu kuelekea kuiongezea Yanga ngvu za kiuchumiΒ 

Mfikirwa alieleza kwa kina Muundo wa uendeshaji ambao Yanga imekusudia kuufuata;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’