Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi anafanya kazi kubwa kukiboresha kikosi chake kuhakikisha anajeresha furaha ya Wananchi
Nabi ana takribani wiki sita tangu alipojiunga na Yanga, taratibu kikosi chake kimeanza kuonyesha mabadiliko
Mtaalamu huyu ameletwa kwa ajili ya kuijenga Yanga imara





ADVERTISE HERE