Gazeti moja la Michezo leo limeripoti kuwa Yanga imemsajili kiungo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu
Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli aliwahi kufichua mbinu hizi na kuwataka Wananchi watulie kwani Kamati yao ya Usajili safari hii haitafanya makosa..!
Kuna watu wako kazini kuwatafutia wachezaji mikataba minono katika timu zao huko...!

ADVERTISE HERE