TPLB yakutana na klabu mkataba mpya Azam Media

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2021
TPLB yakutana na klabu mkataba mpya Azam Media

Sekretarieti ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) jana imekutana na viongozi wakuu wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom 2020/21 pamoja na viongozi wa timu mbili mpya zilizopanda Ligi Kuu

Mkutano huo ulikuwa maalum kwa ajili ya kujadili na kushauriana masuala kadhaa yahusuyo haki na wajibu wa klabu na TFF/TPLB kwenye mkataba mpya wa haki za matangazo ya Televisheni uliosainiwa juma lililopita

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia alifungua Mkutano huo akiwataka viongozi hao wazingatie mambo ya msingi ili klabu zao zinufaike zaidi na mkataba huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’