Mchezo dhidi ya African Lyon wafutwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jun 2021
Mchezo dhidi ya African Lyon wafutwa

Klabu ya Yanga imewaomba radhi wapenzi, wanachama na mashabiki wake baada ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon uliokuwa upigwe keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Azam complex, Chamazi

Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa mchezo huo umefutwa kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika

"Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, Mchezo wetu wa Kirafiki dhidi ya African Lyon, uliopangwa kuchezwa Jumapili uwanja wa Azam Complex, umefutwa"

"Klabu ya Yanga inaomba radhi kwa wanachama, wapenzi na wadau wengine wote ambao wataathirika kwa namna moja au nyingine kutokana na kufutwa kwa mchezo huo," ilisema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
36m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’