Uchaguzi Mkuu TFF August 07 2021

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jun 2021
Uchaguzi Mkuu TFF August 07 2021

Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho hilo utafanyika August 07 2021

Nafasi zinazowaniwa kwenye uchaguzi huo ni Rais na Wajumbe sita wa Kamati ya Utendaji

Fomu zitaanza kutolewa kuanzia keshokutwa Jumanne Juni 08 mpaka Juni 12 2021

Gharama za fomu ni Tsh 500,000/- kwa nafasi ya Rais na Tsh 200,000/- kwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji

Fomu zinapatikana Makao Makuu ya TFF na katika tovuti ya Shirikisho hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’