Wanayanga wakumbushwa kutoa maoni Mabadiliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2021
Wanayanga wakumbushwa kutoa maoni Mabadiliko

Mchakato wa mabadiliko mfumo wa uendeshaji klabu ya Yanga uko katika hatua muhimu ambapo wakati huu maoni ya wadau yanaendelea kukusanywa kupitia viongozi wa Matawi ya Yanga nchi nzima

Wanayanga wameaswa kutoa maoni yao ili kuwa sehemu ya kuijenga Yanga imara

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla ametoa wito kwa Wananchi kutoa maoni yao ikiwa ni hatua muhimu ya kufanya maboresho ya mfumo uliopendekezwa kabla ya kuelekea hatua ya maamuzi kwenye Mkutano Mkuu mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
36m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
54m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’