Udhamini kuwakwamisha kina Ten Urais TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2021
Udhamini kuwakwamisha kina Ten Urais TFF

Dalili za figisu kuelekea uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimeanza mapema kwa Wagombe wengine kukosa udhamini

Kulingana na ufafanuzi uliotolewa na Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama klabu ya Yanga Simon Patrick, mabadiliko ya Katiba yaliyofanywa wakati wa utawala wa Rais wa sasa Wallace Karia,  imeweka mchakato wa mgombea Urais kupata udhamini wa Wanachama wasiopungua watano (5) kutoka kwa viongozi wawakilishi wa mkutano mkuu wa Kanda 6 na Mikoa 26 kwa mujibu wa ibara ya 84

Ina maana kwamba mgombea mmoja akishapata udhamini kutoka mkoa fulani, mgombea mwingine hawezi kudhaminiwa na mkoa au kanda husika

Kwa lugha rahisi ni kwamba kwakuwa Katiba kwenye ibara ya 30(5) haijaweka kikomo cha idadi ya juu ya udhamini, mgombea mmoja anaweza kuomba udhamini (endorsement) kutoka kwa Kanda zote 6 na Mikoa yote 26 au akabakisha mikoa chini ya mitano, kusababisha wagombea wengine wakose udhamini (endorsement) hivyo kukosa sifa ya kugombea nafasi ya Urais

Dalili za hili tayari zimeanza kuonekana baada ya mmoja wa wagombea aliyechukua fomu jana kulalamika kukosa udhamini katika mikoa kadhaa aliyoenda akieleza kuambiwa tayari Karia amedhaminiwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’