Michakato ya usajili ni wakati huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2021
Michakato ya usajili ni wakati huu

Pamoja na kuwa dirisha la usajili hapa kwetu halijafunguliwa kutokana na kuchelewa kumalizika kwa ligi, nchi nyingi ligi zimemalizika na michakato ya usajili imeanza

Bila shaka Injinia Hersi Said na kamati ya usajili Yanga nao wako makini kumaliza hesabu zao za usajili mapema hasa kwa wale wachezaji wa kigeni

Kwani mpaka kufika Julai nyota wengi wazuri watakuwa wamesajiliwa

Lakini pia hata kwa wachezaji wa ndani, wengi mikataba yao inamalizika mwezi huu, wachezaji huru wanaweza kusajiliwa wakati wowote, hawahitaji kusubiri dirisha lifunguliwe

Mashabiki wameweka imani kubwa kwa viongozi wao kuwa hawatafanya makosa katika dirisha hili la usajili

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’