Oscar Oscar ajitosa Urais TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2021
Oscar Oscar ajitosa Urais TFF

Mwanahabari na mchambuzi wa soka Oscar Oscar leo amefika Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania Urais wa Shirikisho hilo

Baada ya kukabidhiwa fomu, Oscar alisema baada ya kutoa maoni yake kwa muda mrefu, ameona umefika wakati wa kuwania nafasi ya kuongoza Shirikisho la Mpira wa Miguu ili kuwa Mtendaji

"Nimekuwa nikitoa maoni kama Mwanahabari. Lakini sasa nimeona ni wakati mwafaka kuwania nafasi hii ili kutekeleza mipango ambayo italipeleka mbele soka letu Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla," alisema

Oscar anakuwa mgombea wa tano kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’