Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina Ijumaa iliyopita alipata majanga kwa kufiwa na mtoto wake wa kiume Mofya Lwandamina ambaye alijiua kwa kunywa sumu.
Kulingana na vyombo vya habari nchini Zambia, siku hiyo ya tukio Mofya akiwa na rafiki yake Keith Chemu walimteka mwanamke, wakambaka kisha kumfunga kamba katika jaribio la kumnyonga kisha wakatokomea na simu ya mwanamke huyo aina ya Samsung pamoja na pesa kiasi cha kwacha 400.
Msemaji wa jeshi la Polisi jijini Lusaka, Esther Katongo amesema mwanamke huyo aliokolewa akiwa hai huku akiwa na majeraha shingoni na kifuani.
Mofya aliamua kunywa sumu baada ya kubaini anasakwa na polisi huku rafiki yake Chemu akikamatwa.
Mofya alikuwa akichezea klabu ya National Assembly inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia.
Tunampa pole kocha George Lwandamina. Hakika tukio hili limemuumiza sana.

ADVERTISE HERE