Hujuma zamkatisha tamaa Tarimba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2021
Hujuma zamkatisha tamaa Tarimba

Mbunge wa Kinondoni (CCM) Abbas Tarimba anafikiria kuachana na mpango wa kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na figisu zinazojitokeza

Tangu jana baadhi ya wagombea waliochukua fomu wanalalamika kunyimwa udhamini mikoani kwa kile wanachoelezwa tayari Wallace Karia amedhaminiwa

Kulingana na Mabadiliko ya kanuni yaliyofanywa na TFF, kila mgombea anatakiwa kudhaminiwa na mikoa sio chini ya mitano na mkoa mmoja hauwezi kudhamini mgombea zaidi ya mmoja

Tarimba amesema uchaguzi huo hautakuwa na maana kama mgombea mmoja anaonekana kuchukua udhamini katika kila kanda na kila mkoa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’