Tarimba, Mayay wajitosa kuwania Urais TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2021
Tarimba, Mayay wajitosa kuwania Urais TFF

Mbunge wa Kinondoni (CCM) Abbas Tarimba ametimiza ahadi yake kwa kuchukua fomu kuwania Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Aidha, licha ya jina lake kukatwa na TFF katika mazingira ya kutatanisha kwenye uchaguzi wa viongozi wa SPUTANZA, Mchambuzi wa masuala ya soka Ally Mayay Tembele amechukua fomu kuwania Urais TFF

Mayay alikuwa mgombea katika uchaguzi uliofanyika mwaka 2017 ambao ulimuweka madarakani Wallace Karia

Amerudi kuwania nafasi hiyo kwa mara ya pili

Pamoja na figisu za udhamini, wadau wameendelea kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu kumkabili Karia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’