Tuna imani na Nsajigwa - Mkwasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2017
Tuna imani na Nsajigwa - Mkwasa
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema kocha msaidizi Shedrack Nsajigwa ndiye atakayeiongoza Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12 dhidi ya Mbao FC mkoani Mwanza.

Nsajigwa amekabidhiwa mikoba baada ya kocha Mkuu George Lwandamina kufiwa na mtoto wake Ijumaa iliyopita.

Mazishi ya kijana huyo yamefanyika jana.

"Nikweli kocha wetu yupo kwao Zambia, alipokwenda kuhudhuria mazishi ya Mtoto wake ambaye amezikwa leo(jana) jioni, hivyo kwa tukio hilo niwazi kwamba hatokuwa na timu Jumapili Jijini Mwanza badala yake atakuwepo msaidizi wake Nsajigwa ambaye ndiyo atakiongoza kikosi pamoja na viongozi wengine wa benchi la ufundi," amesema Mkwasa.

Nsajigwa alikiongoza kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Reha FC ambapo Yanga iliiuka na ushindi wa mabao 2-0.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’