Hiyo wingi ya kulia msimu ujao ni balaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2021
Hiyo wingi ya kulia msimu ujao ni balaa

Msimu ujao ule upande wa kulia wa Yanga 'utanoga' kwelikweli baada ya usajili wa Shabani Djuma kutoka klabu ya AS Vita

Djuma anakuja kuwaongezea nguvu Kibwana Shomari na Tuisila Kisinda wanaofanya vizuri sasa

Aidha ujio wa Djuma mwenye umri wa miaka 27, utaleta changamoto kwa Kibwana ambaye msimu huu amekuwa 'mbabe' katika nafasi yake

Kibwana ndiye mchezaji aliyecheza dakika nyingi zaidi kwenye kikosi cha Yanga msimu huu

Ameletewa Djuma, nahodha na mchezaji tegemeo wa AS Vita na timu ya Taifa ya DR Congo

Kibwana atanufaika na ujio wa Djuma kwani 'atachota' utaalam kutoka kwa beki huyo anayetajwa kuwa mmoja wa walinzi bora kwa sasa barani Afrika upande wa kulia

Yanga imejijengea utamaduni wa kutengenezea mashambulizi kutokea pembeni

Sasa nyuma kuna Djuma na mbele yake yupo Tuisila Kisinda...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
48m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’