Oscar Oscar arudisha fomu, akosa wadhamini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2021
Oscar Oscar arudisha fomu, akosa wadhamini

Mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Oscar amesimamisha shughuli nje ya ofisi za TFF kwa dakika 35 alipokuwa akirejesha fomu

Mgombea huyo ambaye anasubiri uamuzi wa kamati ya uchaguzi baada ya kukosa wadhamini kama kanuni inavyohitaji, aliwasili TFF saa 7:40 mchana akiwa na msafara wa magari zaidi ya 10 na kuondoka saa 8:15 mchana

Baada ya kuwasili, Oscar aliyekuwa akiendeshwa alifunguliwa mlango wa gari na Majizo huku baadhi ya watu aliombatana nao wakiimba na kucheza na wengine wakimshangilia na kumuita rais, kisha akaingia ndani ya ofisi za TFF na wapambe wake wakisalia nje ya ofisi hizo wakiimba na kucheza

Zaoezi la kuchukua na kurudisha fomu limehitimishwa leo majira ya saa kumi jioni ambapo wagombea sita wa nafasi ya Urais walirudisha fomu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’