Bilioni mbili kutumika kuiboresha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2021
Bilioni mbili kutumika kuiboresha Yanga

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said yuko nje ya Tanzania akikamilisha usajili wa wachezaji waliopendekezwa kutua kwa Yanga, mabingwa wa kihistoria

GSM wamedhamiria kukiimarisha kikosi cha Yanga wakiendeleza pale walipoishia ili kuwa na timu tishio msimu ujao

Maboresho makubwa yatafanyika katika maeneo ambayo yameonekana kuwa na changamoto msimu huu

Miongoni mwa maeneo hayo ni safu ya ushambuliaji, kiungo na safu ya ulinzi hasa pembeni

GSM wametenga takribani Tsh Bilioni 2 kwa ajili ya maboresho hayo

Bajeti hiyo itatumika kusajilitakribani wachezaji sita kulingana na taarifa za ndani ya uongozi wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’