Ligi Kuu ya Vijana hatua ya nane bora ilikamilika jana kwa Mtibwa Sugar na Azam Fc kuungana na Yanga na Simba zilizofuzu juzi
Kesho Alhamisi Juni 17 michezo yote miwili ya nusu fainali itapigwa
Wananchi Yanga watawakabili Azam Fc katika mchezo wa mapema utakaopigwa saa nane mchana na kisha kufuatiwa na mchezo kati ya Simba dhidi ya mabingwa watetezi, Mtibwa Sugar
Ligi hiyo itahitimishwa Jumamosi kwa mchezo wa fainali kupigwa
ADVERTISE HERE