Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la mapinduzi baada ya mchezo wake wa ligi dhidi ya Mbao FC, Disemba 31.
Jana Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amewaambia waandishi wa habari kuwa Yanga itakwenda Zanzibar kushiriki michuano hiyo ikiwa na kikosi chake kamili.
Yanga inatarajiwa kushuka dimbani Januari 02, 2018 kuumana na Mlandege.

ADVERTISE HERE