Wabunge wapata semina ya Mabadiliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2021
Wabunge wapata semina ya Mabadiliko

Wabunge Wanachama wa Yanga jana walipata fursa ya kupewa semina ya mchakato wa Mabadiliko ya klabu ya Yanga

Semina hiyo iliongozwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said, Mashauri wa Yanga Senzo Mazingisa wakiambatana na wandamizi wanaosimamia mchakato wa mabadiliko

Mbali na kutoa maoni na mapendekezo yao katika kuboresha, wabunge wameridhia kwa asilimia 100 mfumo mzima wa Mabadiliko na kuunga mkono utendaji wake kwa masilahi mapana ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’