Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata amewaomba radhi viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga pamoja na wanafamilia wa soka nchini kufuatia kitendo alichofanya baada ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting jana
Metacha ametambua kosa lake na kukiri kitendo alichofanya hakikuwa cha kiungwana
"Natambua mchango na umuhimu wa mashabiki kwangu binafsi na kwa Klabu, hivyo kitendo kile hakikupaswa kutokea"
ADVERTISE HERE