Kila la kheri Yanga U20, fainali ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2021
Kila la kheri Yanga U20, fainali ligi ya vijana

Vijana wa Yanga U20 leo majira ya saa moja usiku wanashuka katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa fainali ligi kuu ya Vijana

Hii ni nafasi kwa Yanga kutwaa ubingwa baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michuano hiyo msimu huu

Hata hivyo wanakutana na mabingwa watetezi Mtibwa Sugar, katika mchezo ambao hautakuwa rahisi

Mapema saa kumi Azam Fc na Simba zitachuana katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu

Kila la kheri kwa Wananchi....

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’