Ulikuwa ushindi wa kibabe Yanga ilipata dhidi ya Mwadui Fc katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa amekata tamaa
Mpaka dakika ya 92 Yanga ilikuwa nyuma kwa mabao 2-1 kabla Yacouba Songne hawajeka mambo sawa
Wazir Junior akafanye yake kwenye dakika za majeruhi akifunga bao yenye thamani ya mabilioni...!
Pamoja na ukosoaji, kuna wakati Yanga inakuwa yenyewe yenyewe, aisee
Huu ndo utamaduni wa timu kubwa hakuna kukata tamaa, wachezaji walionyesha ukomavu wa hali ya juu
Mwadui Fc na washiriki wao hawakuamini kilichotokea baada ya mwamuzi kumaliza mchezo, wamepigwa 3-2!
ADVERTISE HERE