Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa msimu ujao Tanzania itakuwa na ushiriki wa timu nne katika michuano ya CAF
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa Tanzania ina nafasi mbili michuano ya ligi ya mabingwa na nafasi mbili michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika
Michezo ya hatua ya awali itapigwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu

ADVERTISE HERE