Maandalizi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jun 2021
Maandalizi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Siku mbili zimebaki kuelekea mchezo wa kwanza wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Biashara United, maandalizi ya uwanja wa Ali Hassan Mwinyi yako katika hatua za mwisho

Wakazi wa Tabora na mikoa ya jirani, Ijumaa ya wiki hii watapata fursa ya kuwashuhudia 'mbashara' Wananchi watakapokuwa wakipepetana na Biashara United katika mchezo wa kumsaka mshindi atakayetangulia fainali ya michuano ya FA

Kwa muda mrefu, mkoa wa Tabora umekosa timu ya Ligi Kuu, uamuzi wa kupeleka mchezo huo mkoani Tabora ulipokewa kwa furaha na mashabiki wa soka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’