Viingilio nusu fainali ASFC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2021
Viingilio nusu fainali ASFC

Mchezo wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Biashara United dhidi ya Yanga utapigwa Ijumaa, Juni 25 2021 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

Taarifa iwafikie Wakazi wa Tabora na maeneo ya jirani kuwa viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Aidha TFF imetangaza kuwa tiketi zitapatikana kupitia mfumo wa N-Card huku ikiweka wazi vituo ambavyo tiketi hizo zitapatikana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’