Rais Mstaafu Awamu ya Nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete ni mgeni rasmi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama ambao utafanya marekebisho ya Katiba kuruhusu Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji
Zoezi la kuhakiki Wanachama linaendelea wakati mgeni rasmi akisubiriwa kufungua Mkutano huo ambao baadhi ya matukio yake yataruka mbashara kupitia Azam Sport 2 HD



ADVERTISE HERE