Injinia Hersi afunga mjadala tetesi za usajili wa Ajibu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2021
Injinia Hersi afunga mjadala tetesi za usajili wa Ajibu

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said amesema kiungo wa Simba Ibrahim Ajibu sio miongoni mwa wachezaji watakaovaa uzi wa Yanga msimu ujao

Siku za karibuni kuliibuka tetesi zilizomuhusisha Ajibu kusajiliwa na Yanga. Ni tetesi zilizoibua makundi miongoni mwa mashabiki wa Yanga wengine wakipinga usajili huo huku wengine wakiunga mkono

Injinia Hersi amesema Ajibu sio miongoni mwa wachezaji walio katika mpango wa usajili wa mabingwa hao wa kihistoria

Aidha amedokeza kuwa tayari wamekamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambao watatambulishwa wakati mwafaka ukifika

Hakuna shaka miongoni mwa wachezaji hao ni mlinzi wa kulia Djuma Shaban anayetua kutoka klabu ya AS Vita

Hersi amesema kutakuwa na utaratibu tofauti wa kutambulisha wachezaji wapya

"Ndio tutakuwa na utaratibu wa utambulisho wa wachezaji wapya, tutawaeleza kupitia vyombo vyetu rasmi, sio yeye tu (Djuma) ila na wengine ambao tutakuwa tumemalizana nao," Injinia Hersi aliiambia Clouds Fm

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’