Beki kisiki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amerejea kikosini baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua
Ninja amekosekana uwanjani kwa takribani wiki sita kutokana na majeraha hayo
Amerejea wakati mwafaka kuelekea mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, Julai 03 kunako dimba la Benjamin Mkapa
Aidha mlinzi wa kushoto Yassin Mustafa nae amerejea wote wakianza mazoezi siku ya leo
ADVERTISE HERE