Emmanuel Mwandembwa kutoka mkoani Arusha atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Waamuzi wasaidizi ni Frank Komba na Hamdan Said wakati mwamuzi wa akiba ni Ramadhani Kayoko
Maafisa 14 watahusika kusimamia mtanange huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE