Bado hatujamaliza kazi - Nabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2021
Bado hatujamaliza kazi - Nabi

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amewapongeza wachezaji kwa kufanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Nabi amesema watashangilia ushindi huo kwa muda mfupi kwani wanakabiliwa na mchezo mwingine wa fainali ya FA dhidi ya Simba mkoani Kigoma

Nabi amesema alifahamu mchezo huo usingekuwa mwepesi lakini aliwasoma Simba na kubaini madhaifu yao na hivyo kuyatumia kuweza kuwadhibiti na kupata ushindi huo muhimu

"Simba ni timu nzuri tulichokifanya ni kuwasoma ubora wao ili kuwazuia na mapungufu yao ili kuwafunga na tumefanikiwa"

"Wachezaji wangu wamejitahidi kuyafanyia kazi malekezo tuliyowapa. Tutafurahia kwa muda mfupi kabla ya kujiandaa na mchezo wa fainali baadae mwezi huu, tunajua watakuja kwa nia ya kulipa kisasi ndio maana tunapaswa kujipanga," alisema Nabi

Kwa Nabi, huu ni ushindi wake wa kwanza dhidi ya Simba na pia dhidi ya kocha wa Simba Didier Gomes ambaye leo ameonja radha halisi ya kipigo kwenye dabi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’