Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limelaani kauli iliyotolewa na Naibu Waziri wa Kilimo Mh Hussein Bashe baada ya mchezo kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Bashe alidai waamuzi wa mchezo huo walidhibitiwa vinginevyo wangetoa adhabu ya penati dhidi ya Yanga
ADVERTISE HERE