Balama yupo sana Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2021
Balama yupo sana Jangwani

Kiungo Mapinduzi Balama anaendelea na program maalum ya mazoezi kabla ya kuanza mazoezi rasmi ya timu

Nyota huyu amekuwa nje kwa mwaka mzima baada ya majeraha aliyopata mwishoni mwa msimu uliopita

Habari za uhakika ni kuwa uongozi wa Yanga tayari umemuongeza Balama miaka miwili

Mkataba wake ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu

Bila shaka Wananchi watarajie kumuona Balama dimbani kuanzia mwanzoni mwa msimu ujao

Madaktari wamekuwa makini kutomuharakisha kurejea dimbani ili kuhakikisha anapona sawa sawa majeraha ya kifundo cha mguu ambayo yalipelekea afanyiwe upasuaji mara mbili

Mara ya kwanza alitibiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na baadae kupelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’