Mauya afunguka bao lake dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2021
Mauya afunguka bao lake dhidi ya Simba

Kiungo wa Yanga Zawadi Mauya aliyefunga bao pekee dhidi ya Simba, amesema matokeo ya ushindi waliopata yamewapa heshima na kupeleka furaha kwa mashabiki wao

Mauya amesema walikuwa na mechi nzuri dhidi ya watani zao na jamboi jema zaidi ni kuwa walipata ushindi ambao walidhamiria kuupata

"Tulicheza mchezo mzuri. Lile goli sikupanga, ila ilitokea tu. Ulikuja mpira uliookolewa ukawa unazagaazagaa pale na mimi niko karibu nikaukimbilia na kuupiga, lakini kwa sababu tulikuwa na jambo letu, ngoma ikaenda hadi mwisho," alisema Mauya

Aidha Mauya amesema kwa sasa wanajipanga kukamilisha msimu kabla kuanza maandalizi ya mchezo wa fainali ya FA dhidi ya Simba ambao utapigwa Julai 25 mkoani Kigoma

Mauya amesema kama walivyofanya mchezo uliopita, wamedhamiria kushinda mchezo huo na kuwa mabingwa wa FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’