Mlinzi wa kulia wa AS Vita Shaban Djuma ni Mwananchi, Injinia Hersi Said alikamilsha usajili wake mwezi uliopita
Wananchi wanasubiri utambulisho wake rasmi pamoja na nyota wengine waliosajiliwa
Yanga imeandaa utambulisho wa aina yake kwa nyota wake wapya msimu huu

ADVERTISE HERE