Matukio mechi ya watani; Yanga yalimwa faini na TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2021
Matukio mechi ya watani; Yanga yalimwa faini na TFF

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Julai 6, 2021 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi Kuu na kufanya maamuzi mbalimbali

Miongoni mwa maamuzi hayo ni klabu ya Yanga imetozw faini ya Tsh Milioni 3 kutokana na makosa yaliyofanyika kwenye mchezo dhidi Simba uliopigwa Jumamosi iliyopita

Faini hiyo imetokana na makosa ya kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingiwa uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu

Pia kutumia mlango wa chumba cha waandishi wa habari badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu

Makosa mengine ni pamoja na kuingia uwanjani kupasha misuli kwa kutumia mlango B ambao haukupangwa kutumika

Pia kutumia chumba cha wafanya usafi wa uwanja kwa ajili ya kubadilishia nguo badala ya chumba maalum cha kubadilishia nguo

Aidha Yanga pia inatakiwa kulipa Tsh 850,000/- ikiwa ni gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjika wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’