Kituo kinachofuata ni Ihefu Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jul 2021
Kituo kinachofuata ni Ihefu Fc

Baada ya shamra shamra za ushindi dhidi ya watani zao Simba, Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo utapigwa Jumatano ijayo Julai 14 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja kamili usiku

Ni moja ya mechi mbili zilizosalia kukamilisha msimu, Wananchi wakihitaji angalau alama moja ili kujihakikishia nafasi ya pili

Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea mkoani Dodoma ambako Julai 18 watakamilisha msimu kwa kuikabili Dodoma Jiji

Mchezo wa mwisho kabisa msimu huu ni dhidi ya Simba, fainali ya kombe la FA itakayopigwa mkoani Kigoma, Julai 25 2021

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’