Mshambuliaji Michael Sarpong amerejea kikosini kuendelea na maandalizi ya mechi za kukamilisha msimu
Sarpong alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu
Baada ya kikao cha viongozi na kocha Nabi kilichofanyika kambini juzi, kwa pamoja wameamua kumrudisha kundini mshambuliaji huyo raia wa Ghana
Sarpong hajaonekana kwenye kikosi cha Yanga kwa takribani wiki nane
Hii ni nafasi kwake kuwashawishi Wananchi katika michezo ya kumaliza msimu kwani kwa kiasi kikubwa, wengi wamepoteza imani kwake
ADVERTISE HERE