Hapa vipi Wananchi, amrithi nani?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2021
Hapa vipi Wananchi, amrithi nani?

Mlinzi wa Azam Fc Yacoub Mohammed anatajwa kuingia kwenye rada za klabu ya Yanga

Moja ya mapendekezo aliyotoa kocha Nasreddine Nabi ni kusajiliwa kwa mlinzi mwingine wa kati

Kumekuwa na taarifa kuwa mabosi wa Kamati ya ufundi Yanga wamefika kwa Yacoub ambaye mkataba wake na Azam Fc umefika kikomo

Inaelezwa Yacoub amegoma kuongeza mkataba na Azam Fc kutokana na suala la maslahi

Kama Yanga itamsajili, basi ina maana kuna mtu ataondolewa pale kwenye ukuta wa Yanga

Yanga ina walinzi watano wa kati ambao ni Lamine Moro, Abdallah Shaibu, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto na Said Juma Makapu

Wananchi wanafanya usajili wao kimyakimya ambapo Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said ameahidi kuwa watafanya usajili bora zaidi msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’