Keshokutwa Alhamisi, Wananchi wana jambo lao uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc
Ni siku itakayopambwa na matukio mengi lakini muhimu zaidi ni kuagwa kwa kiungo Haruna Niyonzima ambaye muda wake wa kuitumikia Yanga umefika mwsho
Yanga imetaja viingilio vya mchezo huo ambao Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi jioni
ADVERTISE HERE