Tutaleta mbadala wa Niyonzima - Dk Msolla

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2021
Tutaleta mbadala wa Niyonzima - Dk Msolla

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema baada ya Haruna Niyonzima kuondoka, nafasi yake itazibwa

Niyonzima ameagwa leo baada ya mchezo dhidi ya Ihefu Fc ambao uliishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0

Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dk Msolla alisema Wananchi wasiwe na wasiwasi kwani watamleta mchezaji mwenye hadhi ya kuchukua nafasi ya Niyonzima

"Ingawa hapa sio mahali pa kuzungumza masuala ya usajili lakini niwahakikishie nafasi ya Niyonzima itazibwa," alisema Dk Msolla

Mpaka sasa Yanga ina nafasi tatu za wachezaji wa kigeni kuziba ambao ni Carlinhos, Niyonzima na Fiston Abdulrazak ambaye inaelezwa ameondoka kimyakimya baada ya mkataba wake wa miezi sita kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’