Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Jamhuri
Ni mchezo wa mwisho kukamilisha msimu huu wa 2020/21





ADVERTISE HERE