Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili kuanzia leo Julai 19 2021
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, dirisha hilo litafungwa August 31 2021
Klabu zimetakiwa kufanya usajili na kukamilisha uhamisho wa Kimataifa katika kipindi hicho
Hakutakuwa na muda wa ziada baada ya kufungwa kwa dirisha
ADVERTISE HERE