Yanga mbioni kuachana na Sarpong

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2021
Yanga mbioni kuachana na Sarpong

Mshambuliaji Michael Sarpong yuko kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga ili kusitisha mkataba wake, imefahamika

Sarpong aliyetua Yanga msimu uliomalizika, alifunga mabao manne pekee na hayuko kwenye mipango ya kocha Nasreddine Nabi

Ni karibu miezi mitatu mshambuliaji huyo hajaonekana kwenye kikosi cha Yanga kutokana na sababu mbalimbali

Mshambuliaji huyo raia wa Ghana alitua kwa Wananchi akitokea klabu ya Rayon Sport lakini hajaweza kuwashawishi Wananchi

Yanga inatajwa kuwa imekamilisha usajli wa mshambuliaji Fiston Mayele kutoka klabu ya AS Vita huku pia ikihusishwa kutaka kumrejesha Heritier Makambo ambaye amevunja mkataba wake na Horoya Ac

Yanga inatarajiwa kusajili washambuliaji wawili wa kigeni kuchukua nafasi ya Sarpong na Fiston Abdulrazak ambaye tayari 'amesepa' baada ya mkataba wake kumalizika

Fiston nae hakuwa na wakati mzuri miezi sita aliyoitumikia Yanga akiweka kambani mabao mawil tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’